Published on November 8th 2023 | 3 mins , 476 words
MATUMIZI YA LUGHA ( ALAMA 40)
Tofautisha sauti zifuatazo. (alama 2)
/ny/ na /m/
- /m/ ni ya midomoni
- /ny/ ni ya Kakaa gumu
/a/ na /u/
- /a/ Chini/kati/tandaze
- /u/ juu/ nyuma/viringe
Andika neno lenye muundo ufuatao wa silabi. (alama 1) K-KKI
- M-bwa, m-pwa, m-chwa, m-kwe
Ainisha nomino katika sentensi hii.
Kuuza sukari kwa Rehema kulimfanya awe na utajiri. (alama 2)
Kuuza – kitenzi jina
- Sukari – wingi
- Rehema – pekee
- Utajiri – dhahania
Geuza sentensi ifuatayo iwe katika hali yakinishi.
Mtoto hakupatiwa chakula wala nguo. (al 1)
- Mtoto alipatiwa chakula na nguo
Kwa kutoa mifano, ainisha aina mbili za mofimu. (al 2)
- Mofimu huru – baba
- Mofimu tegemezi – a-li-som-a
Andika katika hali ya ukubwa wingi. (alama 2)
Mwanamke alibeba kiti chake.
- Majanajike yalibeba majikiti yayo.
b) Ainisha yambwa katika sentensi hii. (alama 3)
Mtoto alipikiwa chakula kizuri kwa mwiko.
- Mtoto – tendewa/ kitondo Chakula
- (kizuri) – tendwa/kipozi
- Mwiko – tumizi
c) Tunga sentensi yenye kivumishi cha pekee chenye dhana ya kutojali. (ala 2)
- o-ote
d) Kwa kutunga moja sentensi tofautisha kati ya vitate hivi. (ala 2)
Mzazi na msasi.
- Mzazi – aliyekuzaa
- Msasi – mwindaji
e) Eleza maana ya kiambishi “ji” katika sentensi hii.
Mchezaji alijikata kwa kisu. (ala1)
- Mchezaji – unominishaji/mazoea/uundaji wa nomino
- Alijikata – kirejeshi/kijitendea
f)Taja ngeli za nomino zifuatazo. (ala 1)
Kiwete
- A/WA
Maji
- YA/YA
g) Tunga sentensi ukitumia neno vile kama kitenzi na kivumishi. (alama 2)
- Vile vyakula vile
(T) (v)
h) Ainisha virai tofauti katika sentensi ifuatayo. (alama 3)
Mwalimu yule mzuri sana alikuja darasani mapema sana.
- Mwalimu - RN
- Mwalimu yule RN
- Mwalimu yule mzuri sana RN
- Yule mzuri sana RV
- Alikuja darasani RT
- Darasani mapema sana RE
- Mapema sana RE
i) Onyesha matumizi ya viakifishi vifuatavyo; (alama 2)
i) kibainishi
- Kuonyesha ung’ong’o – ng’ombe
- Kufupisha – usiseme ’siseme
ii) vifungo
- Kuzingira herufi (a)
- Maelezo ya ziada
- j) Changanua sentensi ifuatayo kwa kielelezo cha matawi. (alama 4)
Kitabu kilichonunuliwa ni hiki.
k) Sahihisha kwa njia mbili tofauti. (alama 2)
Mwanafunzi alifika katika nyumbani
- Mwanafunzi alifika nyumbani
- Mwanafunzi alifika katika nyumba
- Mwanafunzi alifika ndani ya nyumba
- Mwanafunzi alifika kwa nyumba
l) Eleza maana ya nahau
kula mwata. (alama 1)
- Kupata shida
Tambulisha hali katika sentensi hii. (alama 1)
Mtoto acheza.
- Hali isiyodhihirika
Andika kulingana na maagizo. (alama 2)
Mtoto alipoenda Mombasa alijawa na furaha. (anza kwa: Kwenda…)
- Kwenda kwa mtoto Mombasa kulimfanya awe na furaha ( afurahie).
ISIMU JAMII (ALAMA 10)
a) Umeteuliwa kama mtangazaji wa mashindano ya michezo baina ya shule katika eneo gatuzi ndogo lenu.
Eleza sifa tano za lugha utakayotumia. (alama 5)
- msamiati maalum – mpira, mchezaji, uwanja
- lugha yenye misimu – sare,
- lugha ya uradidi – anakwenda anakwenda
- lugha ya ucheshi –
- matumizi ya chuku
- utohozi
- kuchanganya / kuhamisha msimbo kauli fupifupi
- matumizi ya vihisishi
- kauli zisizokamilika (mdokezo)
Jadili mambo matano yanayoathiri matumizi ya lugha katika jamii.
- Umri
- Mazingira
- Uhusiano
- Tabaka
- Jinsia
- Mada
- Wakati